Hivyo vidude nilivikutaMbulu na nilikuwa sijawahi kuviona, nimezoea K Vant na Konyagi. Nikavijaribu kama vi3 hivi, kitu vilichonifanyia anajua Mungu.Kifungua kinywa.... Chai na kitafunioView attachment 969553
Nadhani hukula week nzima[emoji23][emoji23]Hivyo vidude nilivikutaMbulu na nilikuwa sijawahi kuviona, nimezoea K Vant na Konyagi. Nikavijaribu kama vi3 hivi, kitu vilichonifanyia anajua Mungu.
Achana na hii gongo ya mzunguHivyo vidude nilivikutaMbulu na nilikuwa sijawahi kuviona, nimezoea K Vant na Konyagi. Nikavijaribu kama vi3 hivi, kitu vilichonifanyia anajua Mungu.
Siku mbili hali mbaya sana, mpaka sasa niko Mbulu nikiviona napita pembeni, nilipga kinaitwa highlife. Kesho yake asubuhi nilishindwa hata kutoka kitandani. Pia ilichangiwa na kuwa nimepiga K vant 3 ndogo nikiwa njiani kuelekea MbuluNadhani hukula week nzima[emoji23][emoji23]
Safi piga vyombo tuchangie kodiUgimbi na bataView attachment 969694
Ile kitu sijui wanaweka nini na alcohol ni 40% v/v tu, na wakati K vant au Konyagi ndogo napiga 6 na naondoka safi tu.Achana na hii gongo ya mzungu
Yule msela piere me namkubali sana yani ana enjoy to the fullest.Tupige bia jamani mpaka level za piere wa liquid ile furaha imefika kilele" waswahili wanasema nguvu ya mamba ni maji tu
Jirani jana nlilewa sana ndiomana hata comments zingine nlikua sizioni[emoji23][emoji23]Nishaeleza jirani unarukaruka comments [emoji23][emoji23]
Aliyegundua bia abarikiwee sanaNina Kiu balaa, Inabid nitii kiu yangu, Ila Aliyetengeneza Bia , Ni Mwanaume wa ukweli..
Naanzia Mitaa ya Sinza, Friends Pub..
Wana wa Karibu naomben Code
Tupo asee tena tumejaa[emoji23][emoji23]Sisi wanywa mbege pia hapa?[emoji4][emoji4][emoji4]