Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431
Nawapenda woteNashkuru kwa kurudi
Nawapenda woteNashkuru kwa kurudi
Kwa kweli mandhari inakufanya kujisikia mpyaDah ni noma sana na enjoy tu view ya bahari
Nishaeleza jirani unarukaruka commentsUmeadimika sana inabidi utoe maelezo ya kina jirani kua ulikua wapi
EeehhMimi nipo maeneo flani Katibu ameniona meza nimezungukwa nao hao hao , wazuri kweli kweli
😂😂😊😊💪kumbe na ww wamo !Leo ni mwendo wa kukesha...View attachment 969196
Mimi mzoefu mkuukumbe na ww wamo !
Ndio hivyo tena kadri muda unavyoenda inakuwa hivyoEeehh
WaoohLeo ni mwendo wa kukesha...View attachment 969196
Kila lenye heri tu sawaNdio hivyo tena kadri muda unavyoenda inakuwa hivyo
😊😊mimi bado uzoefu..ila taratibu nitafika tuMimi mzoefu mkuu
Dah mdau nmekuja fasta kchkuaaa biaaaa hpo nmerudi kwa mangi ndomana tmesalimiana fasta fastaMimi nipo maeneo flani Katibu ameniona meza nimezungukwa nao hao hao , wazuri kweli kweli
Gambe gambe nilisafiri nilimiss haya mambo mkuuTko pmja
Ova
Karibu mkuumimi bado uzoefu..ila taratibu nitafika tu
Gambe mpk duniaaaa iseme basiGambe gambe nilisafiri nilimiss haya mambo mkuu
Sisi ndio tunalipia SGR mkuu...Gambe mpk duniaaaa iseme basi
Ova
Pale nlikuwa bati Baya Sema nkiwaga tungi mtu hajuagi hata niveshe vp maana siyumbiMimi nipo maeneo flani Katibu ameniona meza nimezungukwa nao hao hao , wazuri kweli kweli