Nas Jr
JF-Expert Member
- May 15, 2018
- 7,916
- 8,713
We mwanamke, hio ngozi soft sana. Ongeza kreti ntapita kukuchukua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kunausemi unasema ili mmoja spate faida lazima mwingine apate hasara.
PATAMU HAPO USIOMBE UWE 'B' Leo nimehamia kwa katibu wetu. Muulizeni kikao cha kujadili mafanikio anakiitishasha lini?.View attachment 955741
AiseeeeWe mwanamke, hio ngozi soft sana. Ongeza kreti ntapita kukuchukua
Nimeshakutoroka sasa nimerudi nyumbani. Pale zilikua hazipo na kiu nikasema mchezaji hachagui uwanja.Kribu sana mjumbe
Ova
Inategemea katibu mdomo uwe asali hawana noma.Unaweza pigwa pingu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnywaji ukachkuliwa kma jmbz
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kuwapiga soundInategemea katibu mdomo uwe asali hawana noma.
Anaweza akawa na copy akaiweka katikati ya biblia ili watoto wasiichezee.😀😀Tayari ana copy
Ndio maana nikasema mdomo asali hawatusumbui.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ni kuwapiga sound
Wengine tushazoea pilika zao sana sana tunawakamatisha mzinga wasepe sisi tunaendelea [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndio maana nikasema mdomo asali hawatusumbui.
Akianza unamwambia zimua kwanza ndio twende sawa. Akigusa tu anakua rafiki.
😀😀😀😀😀[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wazeee wa kukesha misala hyo tushazoeaa
Tena tunawambiaga tnamaliziaaaa wawe na subraaa
Ova