Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Umetoka lindo[emoji41][emoji41][emoji41]Sijalala nko macho
Ova
Umetoka lindo[emoji41][emoji41][emoji41]Sijalala nko macho
Ova
Na kwa jinsi hali ilivyo naamini iko haja ya kupata rais wa dini hiyo kabla hata ya walutheri hawajachukua nchihaha sipati picha siku akiwa Rais mlokole! bia hazitatengenezwa tutakosa kodi na tutalimia meno
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Umetoka lindo[emoji41][emoji41][emoji41]
Mbona walishafika mapema ila sema bado hujawatambuaNgoja waje na [emoji482] zao
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kidumuuu biereeee
Bia za alfajiri tamu......
Naona watega mabomu washasalimu amri hapa maana hii ndy midaaa yao!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
View attachment 956403
Ahh umeme pande zetu hkuna masaa Karibia 2 na mpk sasa haujarudi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hamna pombe naiogopa kama valeurEbanaeeee baada ya kazi ni bataView attachment 956047
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] leo utakwenda kuangalia taarifa ya habari home tena TIBICI katibuuuuAhh umeme pande zetu hkuna masaa Karibia 2 na mpk sasa haujarudi
Isharibu mipango ya kazi tunakosa hela hvi hvi......ahhhh
Ova
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] leo utakwenda kuangalia taarifa ya habari home tena TIBICI katibuuuu
Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
TBC nlishaisahau kitambo
Ova
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] leo utakwenda kuangalia taarifa ya habari home tena TIBICI katibuuuu
Leo tunakunywa bia kwa style mpyaaaHahahaha
TBC ONE sio
Google mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bia inatafsiri vizuri rafikiWadau Leo Niko ktk kikao ,lugha kuu kifaransa ,dah ,natamani nitoke nikapige japo bia kadhaa ,walau niwaelewe kwa uchache tu ,
Mkalimani naye anaongea Swahili ngumu mno khaa
Leo ndio utaangalia hadi saa 9 alfajiri[emoji41][emoji41]Duh [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
TBC nlishaisahau kitambo
Ova
Dar joto sana leo tunapiga mtungi tuko juu tumekaa ya ukuta [emoji23] [emoji23] [emoji23] tnaufata upepo .....kazi na BataGoogle mkuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bia inatafsiri vizuri rafiki
HahahahaLeo ndio utaangalia hadi saa 9 alfajiri[emoji41][emoji41]
Ipo mkuu ndio tunaangalia 24/7 hizo nyingine anasaHahahaha kwani bado ipo ?