Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Kuna fala kaja anataaka bia Mara tishu Mara glass Mara opener.....mangi kamwambia hapa hakuna style hzoHizi ndizo sehemu pekee nikinywa nakua huru ,kuliko bar, pub ,club
Hpa story wngine wanapenda mtu uzungmzePanakuwa real sana.
Stori tamu za kumwaga na utani juu. Halafu ni maeneo ambayo unapata stori za 'flash back'
View attachment 951853View attachment 951853MNIOMBEE[emoji846]
HahahahaKuna fala kaja anataaka bia Mara tishu Mara glass Mara opener.....mangi kamwambia hapa hakuna style hzo
Jamaa kazingua ikabidi wadau tumtimue
Tmemwabia aende tipsy hko Kwenye mbwembwe hpa ni kilaji tu
Ova
Panakuwa real sana.
Stori tamu za kumwaga na utani juu. Halafu ni maeneo ambayo unapata stori za 'flash back'
Umeniachaa[emoji849]View attachment 951853View attachment 951853MNIOMBEE[emoji846]
Mm naendeleaaaa nishasogea kwa mangi natoa lokPombe nlokunywa Jana nimeamka nayo na naendelea nayo ngoja pakuche kidogo nikatoe pattern
Umeniachaa[emoji849]
Kollabo asubuhi bia na kahawaWallah utapata wrong pattern kwa too many attempts [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji14][emoji14][emoji14] ile bado.. hii jana ilikua test mic[emoji4]
kwa mangi ndo kwenyewe Leo weekend hatusumbuliwi maana huku Dom wakikuta migambo wa jiji unakunywa siku za kazi ni balaa
hahaha hii collabo nimeikubali
hahaha atuamki na supu tunaamka na k vant ndogo kwanzaWallah utapata wrong pattern kwa too many attempts [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]