Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mama kamche moja
IMG_1901.JPG
 
Mwana kiwanja chetu nini Hicho
Ah mm aika na Copa sahv pale nadra naona Vijana ngumi mkononi muda wote

Ova

Mzee nahisi bar zote hapa town wazijua , maana mie nimekaa sana hapo copa kupiga kilaji lakini hii picha hata sikupatambua sahzi ndio nafumbuka kwa comment yako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom