Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Unamwachaje katibu wako kwa mfano [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Dah kuna poti mmja anaitwa makomeo [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuwa anasema aise nimekukamia sana nkudake lkn kila nkikuliaaa timing nakukosa
Hawa jamaa wanatumia energy kbwa kuwadaka wanywaji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
 
[emoji5][emoji5][emoji5][emoji5][emoji5]
 
Dah kuna poti mmja anaitwa makomeo [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikuwa anasema aise nimekukamia sana nkudake lkn kila nkikuliaaa timing nakukosa
Hawa jamaa wanatumia energy kbwa kuwadaka wanywaji [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
Makomeo alikuwa obey baadae kawe sijui yuko wapi now daz bingwa wa kulinda wauza sembe
 
Ana njaaa sana Dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kachoka sahv
Tushapiga naye tungi siku hyo ilikuwa mapema akaondoka si akaenda wastua wenzake waje Dah baada ya Muda wenyw wkanza kutaja flani ndy kachoma
Tangu siku hyo nlimwambia tusijuane

Ova
 
Hili jina nishalisikia sana maeneo ya Msasani na Mikocheni A na B
Mangi leo naona stock imeongezeka [emoji23] [emoji23]

Ova
20181129_192120.jpg
 
Ana njaaa sana Dah
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kachoka sahv
Tushapiga naye tungi siku hyo ilikuwa mapema akaondoka si akaenda wastua wenzake waje Dah baada ya Muda wenyw wkanza kutaja flani ndy kachoma
Tangu siku hyo nlimwambia tusijuane

Ova
Hahaaaa!!!
Huyo hana urafiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom