dong yi
JF-Expert Member
- Jan 31, 2016
- 5,956
- 8,351
konyagi na bia mkuu...... ukinywa za kutosha utamwona kila mtu mrembo!Ukimwi uko kwenye nini? Konyagi au Bia?
konyagi na bia mkuu...... ukinywa za kutosha utamwona kila mtu mrembo!Ukimwi uko kwenye nini? Konyagi au Bia?
utakufa mkuuBampa tu bampa! Nipo jikoni.View attachment 941929
kanunue ulanziNiko sehemu nakula ugimbi halafu umeme hakuna dah
[emoji15]
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Hahahaha, mdau bana View attachment 950757
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha, mdau bana View attachment 950757
Hapo unakuwa hujanywa kiasi chake... Ukinywa za kutosha, hata kunyanyua kope kutazama kama aliye mbele yako ni mwanamume au mwanamke hutoweza..[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]konyagi na bia mkuu...... ukinywa za kutosha utamwona kila mtu mrembo!
Kawasumbua sana watoto wa msasani hakuna teja asiyemjua huyuHili jina nishalisikia sana maeneo ya Msasani na Mikocheni A na B
Kawasumbua sana watoto wa msasani hakuna teja asiyemjua huyu
wazee wa henessy mpo?wadada wa amarula,savana ,reds na wanachuo wa ma dompo mpo"? karibuni baharini leo
Kamati hii namuona mwenyekiti yuko makini😱😱😱😱😱😱😱😱Yule kichaaa anatuchafulia jina la POMBE mpaka watu wanaona pombe haifaiView attachment 863492View attachment 863493View attachment 863494View attachment 863495View attachment 863496
unanikumbusha kule masama nilikua napata kitu cha godons mbili na dada zangu waarabu wa manyara basi siku inakua murua kabisaaa kweli ujana maji ya motoooo.Hahahaha ..
Hivi vinywaji sie wa kwa mangi hakuna kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Najisevia mwenyewe kreti zinatusubiria hzi[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usiruhusu magoli mapema kufungwaLeo dalili zinaonesha nalewa mapema sana
tupeane mualiko bhana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Karibu nko kwa mangi tunazugatupeane mualiko bhana