Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mrangi niko js hapa kwa azizi ali nikitoka hapa kituo ikwete vikindu baada ya hapo mkuranga mbele ya sheli ya panone kuna kibaa kipya kimefunguliwa pale baada ya hapo narudi shamba hoyoyo kama uko pande hzo tuwasiliane
 
IMG_1907.JPG
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom