Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Upatikane na nini [emoji23][emoji23] mwenyekiti kuwa standbai katibu anaweza kupatikana na kitu
Hahaha akili kubwa akili ndg haiwezi

Ova
20181128_132411.jpg
 
[emoji22][emoji22][emoji22] sitakaa na ww tena aisee.. khaa unalalaje bar jaman[emoji14][emoji14]!
Haiwezi munde huyo angalia asije kukufia siku moja[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]ukapata mada case bure [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji23]
 
Naomba ujihukumu mwenyewe, kati ya hayo uliyoyataja una tabia ipi... kisha uje ku judge wengine
Mimi sija judge mtu-nimekumbusha tu in case hujui kuwa ulevi ni dhambi ujue hivyo, na kama unajua na umeamua kwa hiari yako na unajua ni dhambi wala sina ugomvi na wewe mkuu wangu, atakaye toa hukumu ni Mungu wetu
 
Mkuu tafadhali toka kwenye uzi huuu
Tuacheeee.....
Mmmk muda si mrefu nmetoka kwenye sehemu za efatha na nko nimekunywaaa na wameniheshimu hawakuni judge
We tuache na Macomber yet u fanya yako

Nko najidungaaa kwa hisani ya fundi saa a
Gambe popote full upendoo
We tuliaaaa tuacheee

Ova
20181128_143405.jpg
 
Kuna siku nipo pale ki-pub flani Kinondoni B', sikunywa kwa amani. Kuna sura pale nilikuwa nazicheki haziashirii amani!!!
 
Mkuu tafadhali toka kwenye uzi huuu
Tuacheeee.....
Mmmk muda si mrefu nmetoka kwenye sehemu za efatha na nko nimekunywaaa na wameniheshimu hawakuni judge
We tuache na Macomber yet u fanya yako

Ova

😂😂😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom