Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Sasa wakitumia nguvu mshahara watalipwa vipi??!.
Akili zao zitakua kinyume na kuunga juhudi mkono hakika.
Au wanatumiwa na wapinzani?.
😂😂hapo wajeshi wahusike tu
Sasa wakitumia nguvu mshahara watalipwa vipi??!.
Akili zao zitakua kinyume na kuunga juhudi mkono hakika.
Au wanatumiwa na wapinzani?.
😂😂hapo wajeshi wahusike tu
Kumbe!!! wenye shida ipi labda mkuuNeno la Mungu linasema hivi.. Mpe mwenye shida anywe alewe asahau shida zake....
Nimeogopa kumjibu isijekua nimwajiriwa anawazia sheria mpya.
Mi naendeleza tu.View attachment 946835
....
Ulevi umewekwa katika kundi gani la uovu? Limo katika Biblia, Wagalatia 5:19-21 "Basi matendo ya mwili ni dhahiri, ndiyo haya uwasherati, uchafu, ufisadi, ibada ya sanamu uchawi, uadui, ugomvi, wivu, hasira, fitina, faraka, uzushi, husuda, ulevi, ulafi, na mambo yanayofanana na hayo katika hayo nawaambia mapema, kama nilivyokwisha kuwaambia ya kwamba watu watendao mambo ya jinsi hiyo hawataurithi ufalme wa Mungu."...,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeogopa kumjibu isijekua nimwajiriwa anawazia sheria mpya.
Mi naendeleza tu.View attachment 946835
So sad. Na IST nayo watavunja maana naona kama wako line moja. Au ni kwa walevi tu?Hizi ni taarifa za kusikitishaView attachment 946848
Hii kama Plisner au macho yangu mabovu?Halafu nimskie mtu kabana pua anasema... Ulevi mbaya..
Kiongozi kwa mfanoView attachment 946156
Tafuta kalamu na karatasi nikutajie. 😀😀😀Mkuu nipe namba ya huo mkono hapo jirani[emoji849]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tafuta kalamu na karatasi nikutajie. 😀😀😀
Katibu unacheka, unanicheka, au unamcheka mdau?.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Namcheka mdau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Katibu unacheka, unanicheka, au unamcheka mdau?.
Hapa sisi tunaendeleza gambe.View attachment 947164
Katibu mzima nakusalimu kwa mbaliNamcheka mdau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kidogo nipaliwe na nyagii hapa
Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tafuta kalamu na karatasi nikutajie. 😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo wajeshi wahusike tu
Hapa nipo na wadau Copacabana ya kusini wao ni wasomaji tu wa huu uzi ila sio wachangiaji, hapa tulichopanga ni kuondoka kumi na mbili kuoga then kazin