Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Duh nmepita chocho moja nmewakuta wanangu watoto wa uswazi wakilipa kodi na banana wanajiachiaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nkawaongezea na banana zingine ......
Tutaongeza ulinzi+tag
Hii mwananyamala kisiwani ndani [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
View attachment 948452
Dah dizaini ya hivyo vidole ni brand ya mwananyamala kabisa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2]

napunguza machungu ya kaka kuoa😂😂.. alafu yule ananipendaaaa sema wifi mtatraaa😂😂!utaona nitakavyopenya kucheza naye..najibinua chini juu...😂😂😂😂watasema huyu sisy vipi tena jaman hehehe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom