nelvine
JF-Expert Member
- Nov 8, 2015
- 1,114
- 1,879
Kafika kilele cha mlima plisner kingView attachment VID-20181127-WA0081.mp4
Dah hicho kinyago unajua maana yake?Nmepitia eneo hili kwanza nitulize akili za pension. View attachment 949316
Kishimundu moja, Asprin by then[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]View attachment VID-20181128-WA0038.mp4Dah nimemiss Bia za nyumbani
Dah hicho kinyago unajua maana yake?
Hata sijui mshana, nipe maana yakeDah hicho kinyago unajua maana yake?
Kua mvumilivu bia haziishi utazikuta tafuta kwanza.Dah nimemiss Bia za nyumbani
Hahaha safi SanaKua mvumilivu bia haziishi utazikuta tafuta kwanza.
Mi naendeleza jaramba la x-masss
Unacheki na mlinzi alivyo mkali?.
View attachment 949355
zichanga familia ijivunie uwepo wako.Hahaha safi Sana
Anza na BananaHivi balimi ni bia nzuri... Nataka kuanza kulewa rasmi hivi punde.
Duh asee, ahsanteMambo ya mvuto wa biashara na kinga pia
Hizo Banana, Ntajinyea!Anza na Banana
Aika bar 1 mzee babaKua mvumilivu bia haziishi utazikuta tafuta kwanza.
Mi naendeleza jaramba la x-masss
Unacheki na mlinzi alivyo mkali?.
View attachment 949355
Pole rafikiDah nimemiss Bia za nyumbani
Pombeka best
HahahahaPole rafiki
Ukija zipo tunahakikisha kiwanda kinaendelea kuwepo
Mambo poa karibu rafikiHahahaha
KIU ,KIU Rafiki, mambo vipi lkn
Mambo poa karibu rafiki View attachment 949509