Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,720
Mzima...
Mwe kahzina
Ova
usiniambie upo kwenye ulabu😂😂ww usoni utakuwa umefanana na steven kebwe😤!pumzisha mwili bro
Mzima...
Mwe kahzina
Ova
Ngj tumalizie vyombo hpausiniambie upo kwenye ulabu[emoji23][emoji23]ww usoni utakuwa umefanana na steven kebwe[emoji36]!pumzisha mwili bro
Ngj tumalizie vyombo hpa
Si ndy manake nightmare [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ova
Tunasukutuaaa 1 for za roadhahhaa hatari hii
We mrangi kalale au nenda kwenye lindo saa mbaya hizi. Wezi wanapenda mida hii kuvamia au vibaka niseme. Mimi nimeamka na nimeishaenda kwenye mabox yangu.
[emoji23] [emoji23] mm mwenyewe mwizi/master hyo mwizi Kabla hajaniibiaa tutamwibia yeyeWe mrangi kalale au nenda kwenye lindo saa mbaya hizi. Wezi wanapenda mida hii kuvamia au vibaka niseme. Mimi nimeamka na nimeishaenda kwenye mabox yangu.
Mwenyekiti naona umecheka[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah halafu jicho moja limelewa pombe lingine limelewa vingineJamaa wa michanganyiko.View attachment 947636
Hapo ni kuchekesha tu Jamaal, kama Mr BeanMazungumzo yanapanda kweli hapo
Ova
Hii ilinikuta mwaka mmja kitambo sana enzi sikukuuu ya saba saba inabambaHapo ni kuchekesha tu Jamaal, kama Mr Bean
[emoji23]Dah halafu jicho moja limelewa pombe lingine limelewa vingine
Yaani Mrangi umeyabwia mpaka mwandiko hausomeki??? Mimi sasa naenda likizo sababu yako. Napiga ka glass ka mwisho leo ova.[emoji23] [emoji23] mm mwenyewe mwizi/master hyo mwizi Kabla hajaniibiaa tutamwibia yeye
Duh saa 4:33 Nna masaa mawili ya kumbonji
Kumbe badaye mapema sana kwenye mitkasi
Ova
HahahahaYaani Mrangi umeyabwia mpaka mwandiko hausomeki??? Mimi sasa naenda likizo sababu yako. Napiga ka glass ka mwisho leo ova.