Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji23][emoji23]
Uzuri kwa mangi unajisevia kama hivi

Ova
20181127_141223.jpg
 
Hahahaha, asee si mchezo ,pombe za wana hizo ,banana, kitoko na don Nyathi
Duh nmepita chocho moja nmewakuta wanangu watoto wa uswazi wakilipa kodi na banana wanajiachiaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nkawaongezea na banana zingine ......
Tutaongeza ulinzi+tag
Hii mwananyamala kisiwani ndani [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Ova
View attachment 948452
 
Hahahaha, asee si mchezo ,pombe za wana hizo ,banana, kitoko na don Nyathi
Pombe za masela hzi wako chakari....
Nmepita chocho moja nimewalipia kodi ili nkirudi ulinzi uwepo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Watoe tag pia..........

Ova
 
Hii ilinikuta mwaka mmja kitambo sana enzi sikukuuu ya saba saba inabamba
Sisi zetu ilikuwa tukienda moja kwa moja kwenye banda ya tbl
Hyo siku tulipiga pombe kuanzia saa tatu mpk kesho yke washkaji wote tuliyokuwepo ple tulikuwa tumeganda kama maroboti
Kuna jamaa mmja hata kuongea a akawa hawezi anaishiaa kusema na kufa nakufa
Jamaa mwenzetu mmja a namwambia kufa hufi ila cha moto tu unakiona[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila ilikuwa hatareee maana ilikuwa nonstop masaaa

Ova
Uwiiii nimecheka sana katibu

Eti mliganda kama maroboti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom