Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Usitufundishe khsu vileo
Wengine tumeanza kunywa pombe tuna miaka 16-17
Mpk leo hii tunakandamiza
Acheni unafki Nyie mnatenda Zambi zaidi ya mnywaji pombe
Kwa ushauri tu we Fata maisha yako

Ova
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usitufundishe khsu vileo
Wengine tumeanza kunywa pombe tuna miaka 16-17
Mpk leo hii tunakandamiza
Acheni unafki Nyie mnatenda Zambi zaidi ya mnywaji pombe
Kwa ushauri tu we Fata maisha yako

Ova
Nimeogopa kumjibu isijekua nimwajiriwa anawazia sheria mpya.
Mi naendeleza tu.
1543242055117657087765.jpg
 
[emoji4][emoji4]nimeanzia hii kujifunzia ulabu glass 1 tu mm chalii[emoji28][emoji28] hubby anajisevia tu sasa hv naikata nzima mzimaaaa kama kibushuti vile
Hahhaahhahaa hii kitu unampa mlokole akitia mdomoni tu anaskia maziwa matamu yenye sukari na spirit kwa mbaliii.... Hata kama alikuwa hana mpango wa kupombeka hii na zanzi zitamuita tu
 
jamani tuoneane huruma, nipo na mshikaji hanunui pombe anabet anataka mi nimnunulie?. Kwahasira nimempa kV kubwa mbili na coca asinizoee.
15432431917371612703422.jpg
 
Hahhaahhahaa hii kitu unampa mlokole akitia mdomoni tu anaskia maziwa matamu yenye sukari na spirit kwa mbaliii.... Hata kama alikuwa hana mpango wa kupombeka hii na zanzi zitamuita tu

yeah lazima aikubali tu hakuna namna ikianza kumlegeza unamwqnzishia tenzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom