Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Aisee nligonga hii maneno mji unaitwa Goa tulienda study tour, nikiwa kwenye floating cassino, nikapiga kama tano hivi, huku nikiwa nimeanzia bia flani hivi zipo kama fanta orange, ama black curent. Baada ya lisaa nikapoteza network kabisa. Dem mmoja kutoka syshellys alihangaika sana kunirudisha katika mstari. Tulivyoeudi bangalore akacchezea mkia
IMG_20160902_113452.jpeg
 
Mimi sijawahi kunywa katika maisha yangu na Sitowahi. Ila nauliza kwanini Serengeti light imekubalika sana kwa Masista Du na Brotherman pale.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom