Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Hizi ndo naskia mkinywaga zinakimbilia chini??

ni kujitune tu... .mm nikiwa na nimpendaye ndo huwa zinataka jeshi limiliki😊..nikiwq na mtu baki walaaa tutakesha..i thnk ni kuulisha ubongo wako tu.. huamini siku nipe ofa uone km hatutoboi..😊😊😊
 
Sawa tutafanya hivyo siku moja tuone kama ni kweli[emoji23][emoji23]
ni kujitune tu... .mm nikiwa na nimpendaye ndo huwa zinataka jeshi limiliki[emoji4]..nikiwq na mtu baki walaaa tutakesha..i thnk ni kuulisha ubongo wako tu.. huamini siku nipe ofa uone km hatutoboi..[emoji4][emoji4][emoji4]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] nikitoboa sasa itabidi utafute tena sikui nyingine nikiwa na tamu yangu uone kama nafika.hata ya 2[emoji4]!mwendo wa kupractice tu
Hiyo siku nyingine ina maana nitakuwa nawakodolea tu macho wewe na jamaa yako??...No way
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hahaha karibu Chamani
2020 wanywaji tunasimamisha mgombea wetu Nyie wote mnazingua[emoji23] [emoji23]

Ova

😀😀😀
Na hivi sina chama acha nimshangilie tu Mkulu kuliko kuwajoin
 
Eeeeeeeeh

Sikubali jibu..

Mtu kunywa pombe na kujijua limit akifikia na kutoendelea.. hiyo ndio bombaaaaaa
Mbn mm kila siku narudi tisa kumi usiku saa moja nshadamka hakuna matata mambo ya naenda...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hpo ulipo jaribu kuonja pombe nzuri itabadili maisha yko

Ova
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom