Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,002
- 100,194
Hahahaha, safi Sana ,mtoto wa mji kasoro bahari
[emoji6][emoji6] kama hvi
[emoji6][emoji6] kama hvi
😜😜 usiniite tu mluguru mkuu😜Hahahaha, safi Sana ,mtoto wa mji kasoro bahari
[emoji12][emoji12] usiniite tu mluguru mkuu[emoji12]
😜😜Hahahaha, hapana sijakuita na siwezi kukuita hivyo ,mbn umeniwahi Rafiki vipi kwani
[emoji12][emoji12]
Una hakika yupo chuga?.
Usije ukamsemea, humu wengi hatujuani.
Kwa posti zake nnajua yupo wapi napitia sana hii thread, uliza swali lingine
Mitaa ya B one hapoHahahaha, long time nilikua hapo town ,Shamba Street ,mishe zangu zilikua madaraka road
Mitaa ya B one hapo
Nakaribia mwezi nimepita neutral ila leo malaika wa vinywaji namuona kabisa ananiita 😂😂Kumepambazuka... Jana ilikuwa ni mwendo wa eagle na nyagi [emoji23]
Kumekucha Mungu ni mwemaWajumbe mme lala.....
Ova
Duh balaaa [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kumepambazuka... Jana ilikuwa ni mwendo wa eagle na nyagi [emoji23]
Kumekucha nmeingia ndani saa kumi na moja medamka tenaKumekucha Mungu ni mwema
Katibuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]Kumekucha nmeingia ndani saa kumi na moja medamka tena
Ova
Duh hii nlirudi nayo kumbe nliweka nyuma ya mfuko wa jeans ....back up kianziooKatibuuuuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Hizi ndo naskia mkinywaga zinakimbilia chini??