Mapema au sio leo
Amekuelezea ni kumbukumbu za wakati gani?Inasemwa kvanga inafuta sana kumbukumbu ukiipiga kupita kiasiii Kuna mwamba alikua ananisimulia
Huu mkono wa me au ke au wa walewale
UnataniaBado ya moto kabisa😂
Wakati uliopo muda huo ukinywa kwa pupa inafuta data sio mchezooo.Amekuelezea ni kumbukumbu za wakati gani?
Mm nilisikia 2023 hiyo
Hupoi mkuuHahaha bwashee muda wa kupooza koo kiroho safi🍺🍺🍺
AhaWakati uliopo muda huo ukinywa kwa pupa inafuta data sio mchezooo.