Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mwenzako mbona kufanya kama wao nawezagaa 🎤
Ila tatizo naona aibuu
Style zote mpaka za kuvunja chaga
Naziweza ila mpaka niwe na vibe 🍻
Basi ngoja kwanza ninywe kidogo
Nikilewa ndo nakuwa mtamu 😂😂

mshamba_hachekwi 😂😂 hatarii


IMG_2081.jpeg
 
Mwenzako mbona kufanya kama wao nawezagaa [emoji441]
Ila tatizo naona aibuu
Style zote mpaka za kuvunja chaga
Naziweza ila mpaka niwe na vibe [emoji482]
Basi ngoja kwanza ninywe kidogo
Nikilewa ndo nakuwa mtamu [emoji23][emoji23]

mshamba_hachekwi [emoji23][emoji23] hatarii


View attachment 2856994
Style zote mpaka za kuvunja chaga
Naziweza ila mpaka niwe na vibe [emoji482]
Basi ngoja kwanza ninywe kidogo
Nikilewa ndo nakuwa mtamu [emoji23][emoji1544][emoji39][emoji39][emoji39]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!
"Asikwambie mtu, bia tamuuu!"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom