Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,776
Kule kuna wenye mamlaka acheni kumsumbuaKule mafichoni hajibu? Mkuu
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kule kuna wenye mamlaka acheni kumsumbuaKule mafichoni hajibu? Mkuu
😅😅😅🤣🤣🤣 AkiananiHapana kwa kweli huwezi vamia ufalme wangu huyo ni mali yangu
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Ni vizuri kumuheshimu mkorofi wangu nampenda sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Akianani
sawa mkuu ila hatuwezi match hiyo ni chombezo tu. She is old enough to be my sister.
Sipo serious
Hatuna ligi ni penseli 4 anataka avamie kambi za watuMi mlevi tu na vesha na walev wenzangu kumbe mnaligi hapa. Depal na hausemi
😁😁😁 Do the needful basi. Au mpaka nikiwa tajiri?.Bado hujasema
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji16][emoji16][emoji16] Do the needful basi. Au mpaka nikiwa tajiri?.
Au nipe yule mdogo wako basi. [emoji846]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Daaah shida na mimi sina options mkuu mbona haya ni mateso asee 🥲Hatuna ligi ni penseli 4 anataka avamie kambi za watu
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Vumilia tu mkuu kwa Depal umeyakanyaga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Daaah shida na mimi sina options mkuu mbona haya ni mateso asee 🥲
Ahah Wacha wavunje daraja, si wanaweza kupiga mbizi..Nani ana ligi? Alewe akalale
Asisumbue
WaacheAhah Wacha wavunje daraja, si wanaweza kupiga mbizi..
Sawa nikutakie heri.
Hakuna anayeweza kummudu Depal zaidi yangu maana hanipagi shidaAhah Wacha wavunje daraja, si wanaweza kupiga mbizi..
Nyie nyieee mi mwenyew wagetini nawaogopa mbwa wale..Waache
Tutawapeleka getini
Haha
Utakuwa umeshaanza kulewaHivi hizi safari zimebadilika radha siku hizi? kama haziivi vizuri hivi au ni mimi na mdomo wangu?
Em njoo uonje za pillarzHivi hizi safari zimebadilika radha siku hizi? kama haziivi vizuri hivi au ni mimi na mdomo wangu?