Hio kitu uganda ndio kwao nimezitafuna mnoRICHORT
ni hatari na nusuHio kitu uganda ndio kwao nimezitafuna mno
Pata juice ya ukwaju glass mbili bugia chaap then utaenda maliwato jasho jepes litakutoka hapo utakua umepona[emoji847]Jamani nyongo imekuwa nyingi naitoaje?
Hahahha[emoji23]Rasmi naacha kwenda kunywa pombe kwny mabar, club na grocery.. saiv ni mwendo wa kupgia vyombo kwangu tuu
Kwa niniRasmi naacha kwenda kunywa pombe kwny mabar, club na grocery.. saiv ni mwendo wa kupgia vyombo kwangu tuu
Kila laheri ktk kunywa pombe🤣Pombe ndio demu wangu mkubwa🤣