Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,831
- 11,670
[emoji23][emoji23]bila shaka wanywaji pombe ziliwaisha kichwani
[emoji23][emoji23]bila shaka wanywaji pombe ziliwaisha kichwani
Kaka hii kitu inaitwa K-Vant ilisha wahi kunifutia kumbukumbu baada ya kuchanganya na ulanzi.... Ilikuwa ni balaa
Hutu tumjamaa tulikuwa tunapunguza kasi ya tendo nikahamia kwenye Kaserngeti Lager Kafupi Katamu.... [emoji1787]
Asante brother.... Ilikuwa nomaHahahaha pole mno brother
Mimi nili prove kabisa.... Nikiwa na mwaliko huwa sizitumii kabisa.....Vinatuhumiwa mno kwenye hilo jambo
K vant ni nomaKaka hii kitu inaitwa K-Vant ilisha wahi kunifutia kumbukumbu baada ya kuchanganya na ulanzi.... Ilikuwa ni balaa
Hiki kinywaji ukiwa na stress kizuri sana... Kina vibes za kutosha..... Ila hakikisha umekula vizuri....K vant ni noma
Na kwako pia kiongozi mzalendo namba moja....Heri Ya Mwaka Mpya Walipa Kodi wenzangu