Mwagilia moyo
Sweet wine or alternativelyWazee nimepumzika kidogo pombe toka mwamka Jana Dec Hadi hivi Sasa sijagusa pombe!! Naweza kuwa nakunywa kinywaji gani mbadala Cha kunichangamsha tofauti na beer na hizi konyagi na ndugu zake??
KinauzwajeHiki kidude hapa safar wametuliza kichwa nimekutana nacho iringa View attachment 2408995
Alcohol yke asilimia ngp chifu???Hiki kidude hapa safar wametuliza kichwa nimekutana nacho iringa View attachment 2408995
Daah umenitamanisha mkuu, ngoja usiku ufike.