Alcohol percentage ni 37%Product yetu hiyo mpya wakuu 🙂
Unaweza kufanya dilution mkuu. Siyo lazima upige kavu. Mimi huwa nachanganya na safari lagerHivyo vidude ni vikali mno
Kama mtu yupo Arusha karibu for a free tasting huku Njiro!Unaweza kufanya dilution mkuu. Siyo lazima upige kavu. Mimi huwa nachanganya na safari lager
call 0656388678. Bei ya jumla ni Tsh 39,000 kwa chupa 30Kama mtu yupo Arusha karibu for a free tasting huku Njiro!
Ntaijaribu nkiona Inaleta wenge ntakua mtu wa vyoda na juiceSweet wine or alternatively
View attachment 2407109
Kiu ya biereCC: katibu
Mweka hazina
Hiyo ni juice ya limaoSasa hii flying fish ni bia au Soda?