Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kiporo home
JPEG_20220923_125537_1227682146752504775.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbezi mwisho pale God Pub yule jamaa ni Muhuni sana, ukinywa pale anakusachi anakuacha mkavu kabisa. Yule jamaa mafia sana

Daah umenikumbusha mbali mkuu!! Gody ni mshenzi kinoma, aliwahi kututolea bastola anataka kutupiga chuma[emoji23][emoji23]. 2014 hiyo vibe la chuo tushalewa tukaleta timbwili, pombe ilikata
 
Yani hpa nilipo wajumbe niko na mshkaj wangu halafu yuko na x wake tunanyunyizia mioyo. eti mdau anajifanya hamtaki x wake wakat mi nko mbwimbwili halafu bebii ndo kaiva vitu knoma. Sa unafanyaje jamani. Uzee huu du?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom