Wanywaji tunastahili tuzo sio ya tozo LakiniTusitegeane jamani tujitahidi kukuza pato la kupitia kwetuView attachment 2347942
HakikaWanywaji tunastahili tuzo sio ya tozo Lakini
Ndovu special malt na Tusker lager zilikuwa bia tamu sanaaa,yani saaana! Very quality beersHii kitu ilienda wapi,?hii kitu ndio nilianziaga kupiga mitungiii..
Ilikua super sanaa, kuna mdau wa NDOVU LAGER, SPECIAL MALT.View attachment 2303591
Kisu cha zamani hicho kimeisha na kutu
HakikaWanywaji tunastahili tuzo sio ya tozo Lakini
Kiporo chema ichoNipo naendelea na kipolo changu cha jana usiku.View attachment 2352683
Karibu mkuu.Kiporo chema icho
Hivi hii inalewesha kweli? Ni bei gn?Nipo naendelea na kipolo changu cha jana usiku.View attachment 2352683
Alcohol 40, ukiikurupukia inakuumbua maana inapanda taratibu ila ni kaliHivi hii inalewesha kweli? Ni bei gn?
Nimezoea K aka muwa
Kigamboni FerryTupeane chimbo nzuri za kunywa zenye huduma zote tatu Muhimu. Kinywaji, Msosi na Huduma pendwa(Mbususu)
Mbezi mwisho pale God Pub yule jamaa ni Muhuni sana, ukinywa pale anakusachi anakuacha mkavu kabisa. Yule jamaa mafia sanaKigamboni Ferry
Mabibo mwisho
Tabata segerea
Mbezi mwisho [emoji23]
Sent from my LM-V500N using JamiiForums mobile app
Wale wahudumu wake nao kimeoMbezi mwisho pale God Pub yule jamaa ni Muhuni sana, ukinywa pale anakusachi anakuacha mkavu kabisa. Yule jamaa mafia sana
Ngoja nijaribu Hilo la fery nikaone wikiend hii