Haka kadude ni katamu mno
1. Usinywe Kama hujala vizurimkuu Mshana Jr HIVI NIWEKE WAZI POMBE KALI NIZINYWE KWA FORMULA IPI ILI ZISILETE MADHARA MAKUBWA KIAFYA PIA NINI IWE KICHANGANYO ILI NINYWAPO IWE NZURI NISI FEEL UCHUNGU WIOWOTE
so hapo mkuu unanihakikishia pombe kali sitoioana chungu na kunidhuru ,kwa bei kati ya 5000 mpaka 10000 unapendekeza ipi ni nzuri1. Usinywe Kama hujala vizuri
2. Changanya na maji, soda water, bitter lemon au crest water
3. Kunywa kwa kiasi
4. Ukilala kunywa maji mengi
Hivi kwanini kwenye Harusi huwa hamnaga imported wananikera sana
Anza na Smooth mixure na Pepsi au Coxa kwa ratio ya 1:1 radha kama Malta tu ila utajiona unawaka moto.so hapo mkuu unanihakikishia pombe kali sitoioana chungu na kunidhuru ,kwa bei kati ya 5000 mpaka 10000 unapendekeza ipi ni nzuri
Mkuu ijumaa na jumapili ....ijumaa tumekaa mpaka saa tisa sio poa.Ni ule ule wa loliondo na kibamba unazungukaUnakuwa siku gani huo?
5.Husipende kuongea sana km wewe si1. Usinywe Kama hujala vizuri
2. Changanya na maji, soda water, bitter lemon au crest water
3. Kunywa kwa kiasi
4. Ukilala kunywa maji mengi
Usiangalie sana bei kwakuwa kuna baadhi ya sehemu wanauza ghali bila sababu.. Lakini ni vema kutumia zenye muda mrefu sokoni, maana hizi mpya mpya hizi zina mashaka mengiso hapo mkuu unanihakikishia pombe kali sitoioana chungu na kunidhuru ,kwa bei kati ya 5000 mpaka 10000 unapendekeza ipi ni nzuri
Karibu sana kamandaNext week sikosi panapo majaaliwa
Ni kweliKunguru hashibi kwenye jalala mojaView attachment 2347462