Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

@Hornet sijui nae alipiga vitu sana jana. Ngoja aje hapa aseme atakua saa ngapi kiwanjani kwake

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app

Jana nimekunywa nyumbani
For the very first time

Yaani sijalewa kabisa

Leo nadhani nitakuwa either Dance club au mawasiliano park

Karibu nakuwa mwenyewe tu
 
Hizi harusi hizi..afadhali tulichukua bolt 😂

6623D858-18C9-4D38-8538-B2F6BC711683.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom