Mzee Shirimaa
JF-Expert Member
- Sep 12, 2018
- 1,539
- 3,466
Mambo hayaendi mkuuDah ninini mbaya zaidi.. Stress iko wapi
Mambo hayaendi mkuuDah ninini mbaya zaidi.. Stress iko wapi
komaa..watu wanakomaa kibabe sana nina jamaa angu katoka jela leo..5yrs yupo ndani na yupo ok..acha kulamba lipsMambo hayaendi mkuu
Brother jana ilikuwa ni laini tuLaini au ngumu au mixer?
Haha kulamba lipskomaa..watu wanakomaa kibabe sana nina jamaa angu katoka jela leo..5yrs yupo ndani na yupo ok..acha kulamba lips
Sio mapigo ya damu..ni mapigo ya moyoMixer nzuri tamu sana ila kiafya ni hatari sana..Zote zinaongeza mapigo ya damu..hivyo unaweza kupiga show ya uhakika.. Lakini baada ya kutimia masaa 24 utajihisi uchovu wa ajabu na ukistua tena vibe linarudi kama lote
😂😂 Noma sana. Ukipiga chupa mbili tu, lazima uchangamke16%?[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
nimepumzika shetani ana nguvu sana[emoji23]shida ya pombe ukienda bar utakuta nikunywa bia moja tuu naondoka ndo unajikuta upo chakari kesho yake hangover ina kutesa una anza kuapa sita kunywa tena ohh naacha pombe unawambia marafiki zako zipite siku tatu tuu offer wakikupa utajiku ta wame ninunulia lakini mwisho bia moja tuu nimepumzika shetani ana nguvu sana
Dont judge people loving alcohol. If your happiness is in porridge, focus on that[emoji18][emoji111]Dont judge people loving alcohol. If your happiness is in porridge, focus on that[emoji18][emoji111]