Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

[emoji482]
20210728_212452.jpg

Sent from my SM-M305F using JamiiForums mobile app
 
Hivi walevi wenzangu, kuchanganya pombe kali na soda (mfano K-vant na Sprite) hakuleti madhara ya kiafya?

Maana kuna katabia kameniingia ka kuchanganya Lord gin na Dragon, lakini huwa naogopaga sana hiyo mixa, isije kuniletea madhara ya kiafya.
 
Please acha energy drink na pombe Kali ni sumu hasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom