Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG-20210803-WA0035.jpg
 
Kwa Moyo wa dhati kabisa niwapongeze wanywa Bia na Wavuta Sigara popote pale walipo..
Wamelipa Kodi miaka yote kwa Uzalendo mkubwa bila malalamiko na Nchi ikafikia Uchumi wa Kati.
Serikali ikaona iwapunguzie kidogo kwenye local beers Kama Bakshishi,na ikatengeneza Kodi ya Kizalendo....
Wanywa Chai, Soda Na Juice Sasa, Nchi Haikaliki... Malalamiko tu...

Tayari zimepungua kwani
 
Back
Top Bottom