Mbeba Lawama
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 1,152
- 3,879
Ila value ina hangover jman
Kuna feki ndio zinakupa mning'inio
Nimefululiza , leo na jana sijaingia job' dah up now na mning'inio mbaya, sijatoka nje tangu asubuhKwanini
Nimekupata mkuu.Piga dry,,kwanini uchanganye tamu na chungu
Kula ugali na mchuzi usio ungwa na mafuta wala nazi (chuku chuku).Nimefululiza , leo na jana sijaingia job' dah up now na mning'inio mbaya, sijatoka nje tangu asubuh
Nimefululiza , leo na jana sijaingia job' dah up now na mning'inio mbaya, sijatoka nje tangu asubuh
Hapana mkuu' hali teteKazimua tena mkuu kwa mangi,bia mbili tu.
Alikua anazingua kambiKalewa!?mbona kimya!? Ama keshabananishwa pahala[emoji2]
Sio kunywa km pombe zinaisha cku iyo!kuna kesho[emoji847]Vema ukanywa kwa kipimo na kwa kiasi
Hukulifanyia kazi ndugu admin wa hii threadWazo zuri sana
HahahahaToa location mkuu![emoji39]
Nibananishwe wapi KIMEKUWA na kidharura nikarudi chapKalewa!?mbona kimya!? Ama keshabananishwa pahala[emoji2]