Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

IMG-20210720-WA0102.jpg
 
Mdau niliamua kuijaribu tu hii, of course ina harufu kama ya K-VANT/KONYAGI ingawa harufu sio kali sana kama liquors tajwa hapo juu.
Wameongezea radha fulani ya utamu,pia ukinywa dry inafanya ulimi unakuwa mwepesi sana.

Unajikuta unaongea kirahisi??

Leo Nina mpango wa kuipiga tatizo company
 
Unajikuta unaongea kirahisi??

Leo Nina mpango wa kuipiga tatizo company
Inaleta ile hali ya kuhis ulimi mwepes sana.Of course ipo vizuri.
Leo Siku kuu huwez kosa company mdau,subiri muda utaongea tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom