mwekwa ntandu
JF-Expert Member
- Aug 24, 2019
- 1,487
- 3,694
Habari ya mujini kila siku lazima ni boost kamoja niwapo home,rahaaaa burudaniiiii
Habari ya mujini kila siku lazima ni boost kamoja niwapo home,rahaaaa burudaniiiii
Yap ila kwenye maduka ya mitaani na groceries za kina mangi ni 2500 tu.Mkuu mitaa ya TBT Kimanga huku ni buku 3 ila pale makumbusho nexus wanauza buku 6
Dah RIPTanzia: tumepoteza mdau akiwa analipa kodiView attachment 1820537View attachment 1820538