Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,892
- 52,491
Itabidi mwenyekiti siku ukiwa unakuja uniambie mapema nikupitishe viwanja vyote vya kigogo mpaka mabibo
Huko kuna kiwanja wanapiga baikoko au Kibao kata?
Itabidi mwenyekiti siku ukiwa unakuja uniambie mapema nikupitishe viwanja vyote vya kigogo mpaka mabibo
Nilifikiri niko peke yangu, siku hizi bia bila kuiboost na nyagi hainogi kabisa😂😂
Ipo inaitwa Palm View Pub ipo kigogo MwishoHuko kuna kiwanja wanapiga baikoko au Kibao kata?
Halafu tamu balaaNilifikiri niko peke yangu, siku hizi bia bila kuiboost na nyagi hainogi kabisa[emoji23][emoji23]
Bar ya kitambo sana hiyo, vijana tuliokulia kigogo, ruhanga, mburati au mabibo hamna asiyeijua!!Leo kuna ka Party ya Mtoto kapata Komunio ya Kwanza nimealikwa The Grand Kigogo Landa BarView attachment 1816444
Ipo inaitwa Palm View Pub ipo kigogo Mwisho
Ni kweli kabisaaBar ya kitambo sana hiyo, vijana tuliokulia kigogo, ruhanga, mburati au mabibo hamna asiyeijua!!
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.
Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa
. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina
Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.
Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.
CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE!