[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji1548][emoji1548][emoji1548]As usual...[emoji1634]View attachment 1776322
Back to life...hiyo hali uwa ni hatari!Jana nimerudisha chenji kinoma magetoni afu nilikuwa alone tu, nimeamka nikasogea Washroom nkafungulia Shower kama nusu saa ivi ule ubaridi wa maji ndo nka restore situation ila tayari ilikuwa out of control, Ilibidi nichukue maji makubwa nkashusha yote, asubuhi nimeamka fresh kichwa kwa mbali kinagonga nkapiga tu beer moja na kusepa mzigoni, Leo ntawahi kurudi niendele nilipoishia jana
Ni kweli mkuu ila kuna wakati nakaa hata miezi sita free from alcohol yani ni water na club soda ila sasa nimeanza kuwa addicted ila i hope ntachomoka niliwahi kuwa mlevi haswa chuo mwaka wa nne ila still nilitoka na nkatuliaBack to life...hiyo hali uwa ni hatari!
Aisee mm sijawahi kupitisha week bila kunywa uzuri uwa nakunywa friday n saturday tu!Ni kweli mkuu ila kuna wakati nakaa hata miezi sita free from alcohol yani ni water na club soda ila sasa nimeanza kuwa addicted ila i hope ntachomoka niliwahi kuwa mlevi haswa chuo mwaka wa tatu ila still nilitoka na nkatulia
Hahaha Uko vizuri mzee ila naona kuna wakati uupe mwili break mkuuAisee mm sijawahi kupitisha week bila kunywa uzuri uwa nakunywa friday n saturday tu!
Yah ni kweli najiandaa kiakili nataka nipumzike mwaka mmojaHahaha Uko vizuri mzee ila naona kuna wakati uupe mwili break mkuu
Mwaka parefu kuna matukio yatakurudisha tu mchezoni, Mimi nimegundua kuwa kuna maamuzi magumu ili binadamu ayafanye lazima atoke katika ordinary yake na mara nyingi vileo either bangi au pombe hutumikaYah ni kweli najiandaa kiakili nataka nipumzike mwaka mmoja
Tatizo kubwa ni kupata altenative ya alcohol....mm uwa natumia alcohol just for relaxation na kupunguza stress!Mwaka parefu kuna matukio yatakurudisha tu mchezoni, Mimi nimegundua kuwa kuna maamuzi magumu ili binadamu ayafanye lazima atoke katika ordinary yake na mara nyingi vileo either bangi au pombe hutumika
Perfectly mzee mbadala upo ila shida ni AdditionTatizo kubwa ni kupata altenative ya alcohol....mm uwa natumia alcohol just for relaxation na kupunguza stress!
Nipe mbadala wa alcohol...Perfectly mzee mbadala upo ila shida ni Addition
Ngoja nijaribu hii kituKaribia kila pombe ina harufu ila ngoja nikupe maarifa ukishamaliza makunywaji yako kula ndizi moja.. Harufu yote itapotea
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pole sana mlipa kodi mwaminifuJana nimerudisha chenji kinoma magetoni afu nilikuwa alone tu, nimeamka nikasogea Washroom nkafungulia Shower kama nusu saa ivi ule ubaridi wa maji ndo nka restore situation ila tayari ilikuwa out of control, Ilibidi nichukue maji makubwa nkashusha yote, asubuhi nimeamka fresh kichwa kwa mbali kinagonga nkapiga tu beer moja na kusepa mzigoni, Leo ntawahi kurudi niendele nilipoishia jana
We kunywa gambee thenWataalamu hebu wekeni orodha ya pombe sizizo na harufu mbaya mdomoni kiasi cha kumkera jirani yako au hata wewe mwenyewe..
Isiyo na harufu kiasi unaongea tu mtu anaskia harufu ya pombe