Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,450
Nawasalimu wote
Duh mweka hazina tupeane codes basiHangover is leo ngoja nishtue na hiiView attachment 1746915
Home Chairman kiporo cha EasterDuh mweka hazina tupeane codes basi
Hiyo kitu mimi kichanganyio ni safariNalipa Kodi hapa MbeyaView attachment 1753577
Hangover yake ni noma...!!Hiyo kitu mimi kichanganyio ni safari
Wacha wacha jamaa angu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji1548][emoji1548][emoji1548]
Spirit or whiskey?Wakubwa nataka pombe kali, lkn isiwe vodka!
Hiyo kitu nikichanganya mimi mwenyekiti kichwa kinaniumaHiyo kitu mimi kichanganyio ni safari
Wapi hapoNalipa Kodi hapa MbeyaView attachment 1753577