Ah OK. Kwa sisi wenye uzoefu wa 30+ years hizo inakuwa ni kama maji tu![emoji23][emoji23][emoji23]! Mi siku hizi nimepunguza unywaji, niliamua kurudi kwenye castle lite nilikojifunzia unywaji.
Ah OK. Kwa sisi wenye uzoefu wa 30+ years hizo inakuwa ni kama maji tu![emoji23][emoji23][emoji23]! Mi siku hizi nimepunguza unywaji, niliamua kurudi kwenye castle lite nilikojifunzia unywaji.
ni kujilipua tu kigetto getto
Energy ni mbaya sana kwa mabandama yetu afadhali uchanganyie na bia kuliko energyWatu wanakunywa sana nyagi na energy mwenyekiti ebu toa elimu ya madhara yake
Utakuwa na usugu wa pombe kali.Duu watu na utumbo wao,hata sijui unafananaje [emoji25]
Haya mavitu yanaitwa lite siyawezi. Hayana rizim kabisa!Niliwahi kufuta crate
Naambiwa inazalishshwa Tbl MbeyaMost likely
kwann usinywe na energy?Usinywe kila siku
Ule ushibe
Usinywe dry
Usinywe na energy drink
kwann usinywe na energy?Usinywe kila siku
Ule ushibe
Usinywe dry
Usinywe na energy drink