Mirlz B Matthew
JF-Expert Member
- Oct 10, 2011
- 2,216
- 3,117
Wenyeji wa bukombe-runz tupeane location!! Ya kula ngano
Bon voyageOm my wy bavk to der
Sarafina BarBreakfast time in Arusha KaloleniView attachment 1734810
Nyagi sio kitu ya kupiga dailyUsinywe kila siku
Ule ushibe
Usinywe dry
Usinywe na energy drink
Usipige kila siku after seven days pigaNikiingia huu uzi sijui kwanini huwa nataman na mimi nianze kula nyagi dah!!
Ushauri wakuu
Daa jamani [emoji849][emoji849][emoji849] pombe si chai kabisa
Duu watu na utumbo wao,hata sijui unafananaje [emoji25]
Haaa haaa haaaTupe pombee tutoe siri zetuuu....Kauli ya mlevi mmoja hivi imesikika hapa Ngao lounge "Goba"
Mie hapo ni hiyo sahani tu hiyo chupa nawaachia kina bro Mshana Jr.Breakfast time in Arusha KaloleniView attachment 1734810
Hii ni pombe gani mkuu?Pure Gold!View attachment 1723888
Hahaha castle lite tu hiyo mkuu!Hii ni pombe gani mkuu?
Mimi spirit zote sinywi dry. Sikh zote nachanganya na biaUsinywe kila siku
Ule ushibe
Usinywe dry
Usinywe na energy drink
Ah! Ile chupa sikuielewa. Mimi hizi lite zote zimenishinda. Naweza kupiga kreti mbili sisikii kituHahaha castle lite tu hiyo mkuu!
[emoji23][emoji23][emoji23]! Mi siku hizi nimepunguza unywaji, niliamua kurudi kwenye castle lite nilikojifunzia unywaji.Ah! Ile chupa sikuielewa. Mimi hizi lite zote zimenishinda. Naweza kupiga kreti mbili sisikii kitu
Watu wanakunywa sana nyagi na energy mwenyekiti ebu toa elimu ya madhara yakeUsinywe kila siku
Ule ushibe
Usinywe dry
Usinywe na energy drink