davie dee
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 934
- 1,215
Unaonekan unapenda coke sanaa nyngne ishaisha pembenBado tupo lokudauni nchi za watu, Miss you tzView attachment 1717155
Safi kabisaTukiendeleza chama la wanaView attachment 1716727
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hebu siku ukirudi utubebee hilo moja kama zawadi[emoji39][emoji39][emoji38]Bado tupo lokudauni nchi za watu, Miss you tzView attachment 1717155
Mungu akupe uhai teleTukiendeleza chama la wanaView attachment 1716727
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Hta mbili kabisa sio moja tuuHebu siku ukirudi utubebee hilo moja kama zawadi[emoji39][emoji39][emoji38]
Asante bro nawe pia mungu akujaalieMungu akupe uhai tele
Anhaa basi kitakacho ruhisiwa hcho hcho hata kama kidogo tutashukuru akituleteaSawasawa ila kwenye ndege kuna kiasi kinachoruhusiwa kubebwa
Sahihi kabisaAnhaa basi kitakacho ruhisiwa hcho hcho hata kama kidogo tutashukuru akituletea
Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
Wamekula lakini?
Nitabeba nyingi mnooo, nitarudi siku huyu jamaa yetu akitoka Ikulu, Yeye ndiye alikuwa reason ya mimi kuondoka tz, the guy is fucked up in the headHebu siku ukirudi utubebee hilo moja kama zawadi[emoji39][emoji39][emoji38]
Watu wana khatari sana Sheikh!