Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Wengi mno mkuu, nashukuru niliweza kumkimbia tz
Sasa hivi watu wanafurahia hata wakipata taarifa ya kuugua kwake, Binadamu wengi huwa tunajisahau sana pale tupatapo nafasi fulani either makazini or sehemu yoyote ile na kitu ambacho wengi hawajui ni kwamba watu wengi hukupenda pale tu unapokuwa na madaraka pindi ukivuliwa madaraka na wao pia wanakukimbia.

Hapa nataka kusema ya kwamba watu hupenda nafasi ya mtu aliopo na si mtu aliyeopo katika nafasi hiyo, hata hii leo ikatokea Mh. Rais akatoka katika nafasi yake hiyo na hakika kwa 100% atasemwa sana na hata wale waliokuwa wanakula nae meza moja.

Ajitathimini kwa kweli huwa nawaza sana pindi atakapo achia madaraka sura yake ataiweka Mh. Rais
 
Pure Gold!
IMG_20210312_213731_0.jpg
 
Tungu niache pombe imepita wiki sasa, ni ngumu ila najikaza

Lakini leo nimeamua kwenda kujipogenza na nyagi ndogo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom