Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

ww uko kundi gani!?/ la huna hela unataka bia au?
Kundi la mabadilikoView attachment 1665204
IMG_20201230_225103_544.jpg
 
Kuna boya hapa katapika pombe asee! Imeniuma Sana manake pombe yote nimemnunulia karibu 20k kashusha chini pamoja na mapilau yake na maviazi[emoji20]

Mi nilimuambia wali na pombe haziendi akabisha ona Sasa kashanitia hasara
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom