Tojo
JF-Expert Member
- Dec 25, 2014
- 1,810
- 3,087
Tizi napiga sana tu[emoji1][emoji1][emoji1] Yawezekana mkuu....au mazoezindo ahida
Tizi napiga sana tu[emoji1][emoji1][emoji1] Yawezekana mkuu....au mazoezindo ahida
Ni ukweli kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hii ya kuongeza damu ni kweli ama maneno tu?
Ndio kwanza kumekucha mida yetu vyombo ndio vinakoleaWanywaji hamjalala hadi sahivi mnapiga vyombo tuu[emoji14]
Huu ushauri naona sasa hivi...almanusra ile kwangu 😂Hiyo blue light nimeielewaa👍 itafanya uanze kuona wahudumu wote wazurii.kuwa makini.😀
Kweli kabisaMko vizuri, pigeni vitu maisha ndiyo haya haya.
Mazoezi ya gambe mzee sio haya ya kawaida 😄Tizi napiga sana tu
Duh noma 😄Ni ukweli kabisa
Aisee ulitaka kupita na muhudumu eeh, hongera kwa kuepuka kishawishi.😀Huu ushauri naona sasa hivi...almanusra ile kwangu 😂
Mi sipigi mkuu ni team juices 🤭, vipi wewe unatumia?Wewe hupigi vitu mkuu???
😂😂😂Dah tuyaache tu kwa kweliAisee ulitaka kupita na muhudumu eeh, hongera kwa kuepuka kishawishi.😀
😀😀 tusimulie kidogo basi mkuu😂😂😂Dah tuyaache tu kwa kweli
Shukrani sana 😁
😂😂😂Aaah wacha nibaki nalo mwenyewe tu aisee😀😀 tusimulie kidogo basi mkuu
Haya mkuu usijali, usiku mwema😀😂😂😂Aaah wacha nibaki nalo mwenyewe tu aisee
mshana umerejea?Nimerejea wakuu kwa kasi mpya kabisa
happy to see you again.Full version kaka
[emoji818][emoji1533][emoji1534][emoji1548]happy to see you again.
Cheers hatugongi kk?[emoji848]Nimerejea wakuu kwa kasi mpya kabisa