Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Gambe
MVIMG_20201222_171130_045.jpg
 
Maji lita mbili na bia tatu only hii ndio principal yangu.....

Huwa sitaki urafik Wala kampani huwa si ruhusu mtu anizoee......

KWENYE maisha YANGU nachunga ulevi na haujawai kuni control.
Daah wapare kwa ubahili mko vzr arifu.
 
Daah wapare kwa ubahili mko vzr arifu.
Ofcorse mimi Sina damu ya kipare......

Ukiweza KUA na tabia Kama hii inaweza kukusaidia sanaa.......

Wazungu wanasema don't go to have a drink at a cheap place.....maana ukienda cheap place utakuta cheap people.

Kuna watu wanapata connection kweny bia

Mm naogopa Sana mazoea na kampani za ajab ajab datc Mara Moja Moja Huwa natafuta eneo zuri pekeangu

Siku zote bajeti yangu sijawai kuivuka maana ukiendekeza hayo Mambo huwezi fanya la maana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom