lordchimkwese
JF-Expert Member
- Nov 16, 2015
- 1,912
- 3,372
Sawa ike chungu kiboyaItabidi niijaribu basi maana ile OG ladha yake inanizingua
Sawa ike chungu kiboyaItabidi niijaribu basi maana ile OG ladha yake inanizingua
Safi mkuu.... tuendelee kugida maisha ni haya haya[emoji1634]View attachment 1640975
Afadhali nihamie huko maana hizi bia zingine naona zinaelekea kunishinda ...sjui ndio ulokole unaninyemelea!!Nimeona tangazo la bia yao mpya ya buku jero
Mbona bado huku Kijijini kwetu hazijafika mkuu!?Ile mpya extra smooth afu tamu kama gland malta
Ile ya kitamobo foreign extra afu chungu
Ile og ndio nzuri sasa unaongeza na damu hapohapoItabidi niijaribu basi maana ile OG ladha yake inanizingua
OG inafaa ka ushazoea mikonyagi chungu sanaIle og ndio nzuri sasa unaongeza na damu hapohapo
😄😄😄 Yawezekana mkuu....au mazoezindo ahidaAfadhali nihamie huko maana hizi bia zingine naona zinaelekea kunishinda ...sjui ndio ulokole unaninyemelea!!
😂😂😂Hivi hii ya kuongeza damu ni kweli ama maneno tu?Ile og ndio nzuri sasa unaongeza na damu hapohapo
Naam😁Wanywaji hamjalala hadi sahivi mnapiga vyombo tuu😛
Hiyo blue light nimeielewaa👍 itafanya uanze kuona wahudumu wote wazurii.kuwa makini.😀
Mko vizuri, pigeni vitu maisha ndiyo haya haya.Naam😁
karibu na wew upige vitu uwe sawMko vizuri, pigeni vitu maisha ndiyo haya haya.
Wewe hupigi vitu mkuu???Mko vizuri, pigeni vitu maisha ndiyo haya haya.