Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

Kinyonge
IMG_20201028_145104_830.jpg
 
Nimefika Moshi mara moja kujadiliana na ndugu zangu masuala kadhaa wa kadhaa.....vikao hivi vya kulipa kodi huwa ni muhimu sana huku ndo watu wanafungukaga ukweli mtupu

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Kwa heshima kubwa. Hii kaliba itambuliwe rasmi kama mdau mkubwa wa maendeleo hasa kwenye eneo la ulipaji kodi. Ndio mshindi wa kwanza kila mwaka ikizishinda taasisi nyingine kwa mbali mno.

Pamoja na sifa zote hizo lakini pia kaliba hii inakabiliwa na changamoto mbalimbali hasa

. Kushindwa kufanya migomo kila bei inapopanda
. Vituko baada ya kulewa
. Vibweka vya kila aina

Kupitia mada hii hebu tuweke matukio yote yanayojiri kwenye uwanja wetu huo. Tusisahau kutupiamo vyupa vyetu tukiwa viti virefu na vifupi. Zile za ofa na hata za kwenye sherehe.

Tupiamo hata zile sura zilizoharibiwa na ngumu kumeza.

CC: mrangi mzee wa OVA! YURE MUPE YURE MURUKE...!!!
Hii mada kiboko
Kuna wale waZee wa fujo baada ya kulewa bora Wastaafu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom