deo paul555
JF-Expert Member
- Oct 22, 2018
- 1,405
- 529
Unywe maji kwa wingi sasaVenus in retrograde.
Nineingia mfungo wa pombe kwa angalau miezi sita, kutoka May 31 2020 mpaka December 31 2020.
Hata white wine sijagusa.
Najiridhisha tu kwamba nikitaka naweza, na pia naupumzisha mwili.
Nakunywa maji sana. Pia najaza glasi kubwa ice naweka tonic water, nakunywa.Unywe maji kwa wingi sasa
Jr[emoji769]
mbaya Sana hii Hadi nimepaliwa na bia
Next week tunarudi hewani kaa mkao
Jr[emoji769]
Camera ya simu gani hii kakaView attachment 1470911
Pombe ya JP tamu sana .
ile bia ina heshima zake Kama una kichwa ya panzi usiguse kabisaGuiness ni bia na nusu
Wakuu kimya sana hii ni jana usiku ngoja nikachukue kreti leo nanywea home tu ebu tuchangamshe jukwaa basiii
Pombe ya kishujaa sana hiyoDah hii white horse bana
Baharia umenisisimua ngoja nikapige mbili tatuVita ni nita mulaaa. Tunafukuaza coooronaaa.View attachment 1471344
Ala! [emoji23][emoji23][emoji23]ile bia ina heshima zake Kama una kichwa ya panzi usiguse kabisa
😂😂😂makamanda wamehalibu nn Tena mpak wapigwe ban namna hiyoKuna query hapa tunafanyaje wanazengo?.. Wadau Wamepigwa pini kutoa lock na kuchangia Kodi.. Hii ni sawa na uhujumu uchumi View attachment 1452812
Jr[emoji769]
Mimi nimeshindwa.. Niko Juliana hapa [emoji30][emoji30][emoji30]Nakunywa maji sana. Pia najaza glasi kubwa ice naweka tonic water, nakunywa.
Nimetoka kunywa angalau 1.75 litres za Scotch Whisky every week (bia na wine sihesabu hapo), mpaka sasa 0 alcohol wiki hii.
Kwa sasa tuko lockdown ni rahisi.
Kimbembe nitakapoanza kualikwa parties.