Fundi maiko huyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1461376uyu fundi atakua alikunywa kilevi gani maana si kwa hii mpangilio
Hiyo haijajikunja shina lilisimama (kitindi) ndio linagemwa na hiyo ulioona kama imejikunja(mbeta) ambapo ndio mzigo huingia umo hatari aisee iyo nta ni maboso weka mbali na nyuki hatariiiWeeee i kitu ina rinwa kama asali au kiaje inamaana iyo fimbo ikijikunja ndo mtambo uo tiari????[emoji44]
Nipo mkuu hasa ule mtogwa au mkangafu pande za njombeMshana Jr: Wapi washirika wa hii kitu?View attachment 1461163View attachment 1461164View attachment 1461165
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi kuhusu mdindifu ushakutana nao uo?Nipo mkuu hasa ule mtogwa au mkangafu pande za njombe
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Huo nimekutana nao ila level yake ya intensity ni hatari mkuu unaweza ukakutoa roho[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vipi kuhusu mdindifu ushakutana nao uo?
[emoji23] huo sasa ndio mvinyo halisi wa mwanzi ujishike kama GB ndogo unageuka kichwa cha habari[emoji851][emoji851][emoji851]Huo nimekutana nao ila level yake ya intensity ni hatari mkuu unaweza ukakutoa roho
Sent from my TECNO W2 using JamiiForums mobile app
Mkuu apo mpka mate nayaona yanavyo teleza hahaha inabidi wadau siku moja tukutane tufanye ile kauli mbiu ya dreak beer save waterHiyo haijajikunja shina lilisimama (kitindi) ndio linagemwa na hiyo ulioona kama imejikunja(mbeta) ambapo ndio mzigo huingia umo hatari aisee iyo nta ni maboso weka mbali na nyuki hatariii
[emoji2][emoji2][emoji23][emoji42][emoji42] asili aisee!!Mkuu apo mpka mate nayaona yanavyo teleza hahaha inabidi wadau siku moja tukutane tufanye ile kauli mbiu ya dreak beer save water
Mkuu apo mpka mate nayaona yanavyo teleza hahaha inabidi wadau siku moja tukutane tufanye ile kauli mbiu ya dreak beer save water
X1 mbona imeadimika??
[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]Ili mtekane?
Ni kweli, coz hivi vitu vinatengenezwa kw njia tofauti.Ice by Brewers method where by konyagi is distlation process.Ntafanya upembuzi yakinifu kisha utapata mrejesho ndg mjumbe [emoji120]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha,Ili mtekane?
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]View attachment 1464784nimeikuta kabatini nimechekelea
Haya badae wacha kwanza nijidunge 50/50
Drink bear save water,,